CHAMA CHA WALIMU TANZANIA CHATAKA MGAO PESA ZA ESCROW
Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kimemtaka Naibu waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba kuwapatia shilingi bil. 16 kutoka kwenye pesa za Escrow ili watatue changamoto zinazoikabili sekta hiyo.
Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Ezekiel Ulouch amesema kiwango hicho cha pesa kitasaidia kutatua changamoto kadhaa ikiwemo ya ukosefu wa madawati, kutekeleza muundo mpya wa walimu na kuboresha mazingira ya shule.
C
No comments:
Post a Comment