Monday, 9 February 2015

BAADA YA RAIS MUGABE KUANGUKA,HIKI NDICHO KINACHOENDELEA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII...


  Raisi wa Zimbabwe Robert Mugabe, 90, alianguka mpaka chini mara tu baada ya kumaliza speech aliyokuwa akiitoa kwa wafuasi wake waliokuja kumpokea airport  baada ya safari yake kutoka Ethipia, ijumaa iliyopita.

                         


Mugabe ameanguka baada ya kukosea ngazi alipokuwa akishuka tayari kwa kuingia kwenye gari lake.
                          

Baada ya picha hizo kusambaa, maraia wakaanza kazi yao ya kutengeneza memes zilizozagaa katika mitandao ya kijamii. hizi ni baadhi tu ya picha hizo..

INASIKITISHA: BABU,BIBI,WATOTO NA WAJUKUU WATEKETEA KWA MOTO JIJINI DAR...

Watu sita wa familia moja akiwamo Kapteni mstaafu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ), wamekufa papo hapo baada ya kuteketezwa kwa moto  jijini Dar es Salaam.

Janga hilo la moto limetokea jana saa 10:30 alfajiri katika eneo la Kipunguni A, Ukonga Banana, wilayani Ilala.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Mary Nzuki alisema kuwa moto huo ulizuka ghafla katika nyumba inayomilikiwa na mstaafu huyo wa Jeshi, David Mpira anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 55 na 60.  

IVORY COAST BINGWA AFCON 2015


                           

Mabingwa wapya wa Kombe la Mataifa Afrika 2015, Ivory Coast wakipozi na kombe leo. 
Straika wa Manchester City, Wilfried Bony akiwa amembeba shujaa wa Ivory Coast Boubacar Barry (katikati), aliyefunga penalti ya mwisho. 
Nahodha wa Ivory Coast, Yaya Toure akifurahia ubingwa.
  

Patashika wakati wa fainali hiyo...  

NDUGU WA MBASHA WAKAA KIKAO KIZITO, WAKIKATAA KICHANGA CHA FLORA

SIKU chache baada ya kuibuka utata mkubwa juu ya kichanga cha kike cha mwimba Injili maarufu Bongo, Flora Mbasha huku mitandao ya kijamii ikieleza kwamba baba wa mtoto huyo si aliyekuwa mume wa mwanamuziki huyo, Emmanuel Mbasha ‘Ima’, familia ya mwanaume huyo inadaiwa kufanya kikao kizito jijini Dar ili kupata ufumbuzi..  

PICHA ZA NGONO ZA NAY WA MITEGO,ZASABABISHA ASUSIWE KICHANGA NA MCHUMBA AKE SIWEMA...

 Picha za ngono zilizozagaa katika mitandao ya kijamii za Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, zikimuonesha akifanya ufuska na mrembo chumbani zimemliza mchumba’ke, Siwema ambaye ameamua kumsusia mtoto wao mchanga.