Msanii kutoka pande za South Africa anayejulikana kwa jina la Pam Andrew ambaye ameolewa na pia ana mtoto usiku wa sherehe wa kukabidhi tuzo za Channel O alitia aibu baada ya kuja na nguo ambayo inamuonyesha sehemu kubwa za mwili bila hata ya kujali....
Alitinga ukmbini hapo na kwenda kwenye red carpet kwa ajili ya kupata picha na mastaa wenzake na hizi ndizo picha zake..
No comments:
Post a Comment