Tuesday, 2 December 2014

KUTANA NA KIJANA WA MIAKA 38 MWENYE WAKE 39 NA WATOTO 94..




Huyu si mwingine bali ni kijana mmoja anayejulikana kwa jina Ziona Chana raia wa India ambapo katika umri wa  miaka 38 tu tayari ana wake  39,watoto 94,Wakwe 14 pamoja na wajukuu 33 ambao wote wanaishi nyumba moja ambayo iko kama hoteli yenye vyumba zaidi ya 100..

Kwa mujibu wa watu wanaomfahamu mwanaume huyu kila mwaka huwa na tabia ya kuoa wanawake 10 na wawili kati yao lazima wawe masister,cha ajabu zaidi ni kwamba wake hao 39 wamesema wanafurahia sana kuwa na mwanaume kama Ziona Chana ambapo huwa wana ingia kwa zamu kwenye chumba cha mwanaume huyo ili kutimiza ahadi yao ya ndoa


Hizi ni baadhi ya picha za familia ya Ziona Chana na watoto,wake na hata wajukuu wajukuu na jumba lao wanaloishi..








No comments: