Saturday 6 December 2014

AUNT EZEKIEL AWAZODOA WANAOSEMA ANA MIMBA



Baada ya wengi kuongea na baadhi ya vyombo vya habari zikiwemo na blogs kuandika kuwa Aunt Ezekiel anaujauzito na hadi kufikia kudhaniwa ni nje ya ndoa pamoja na mmoja wa wanenguaji wa msanii Diamond Platnumz kuhisiwa anahusika.

Masaa 24 yaliyo pita kupitia account yake ya instagram Aunt Ezekiel ameandika haya.


"Lazima ujue Kutofautisha kati ya Kitambi na Mimba Sasa hiki Chagueni wenyewe ni KITAMBI AU MIMBA!!!!!legoooooooooo.... "

No comments: