Monday 9 February 2015

BAADA YA RAIS MUGABE KUANGUKA,HIKI NDICHO KINACHOENDELEA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII...


  Raisi wa Zimbabwe Robert Mugabe, 90, alianguka mpaka chini mara tu baada ya kumaliza speech aliyokuwa akiitoa kwa wafuasi wake waliokuja kumpokea airport  baada ya safari yake kutoka Ethipia, ijumaa iliyopita.

                         


Mugabe ameanguka baada ya kukosea ngazi alipokuwa akishuka tayari kwa kuingia kwenye gari lake.
                          

Baada ya picha hizo kusambaa, maraia wakaanza kazi yao ya kutengeneza memes zilizozagaa katika mitandao ya kijamii. hizi ni baadhi tu ya picha hizo..


                                     






No comments: