Sunday 30 November 2014

SIRI IMEFICHUKA,KUMBE WEMA NA DIAMOND NI "KAKA NA DADA"....






THE GAME IS OVER..... Diamond na Wema Sepetu hawapo pamoja tena. Habari hiyo imekuja katika siku ambayo Diamond amegeuka shujaa kwa kunyakua tuzo  tatu za Channel O.        
         
    

Miongoni mwa watu waliompongeza kwa ushindi huo ni Wema Sepetu ambaye tumezoea akimuita staa huyo ‘my baby’,


Mambo yamekuwa tofauti na mazoea hayo kwani awamu hii ameitwa ‘kaka’.“Gnyt Instagramers… And Hongera tele ziende kwa kaka platnumz…
 I must say he did Tanzania proud,” aliandika Wema kwenye Instagram muda mfupi baada ya tuzo hizo kuisha ikimaanisha kuwa alikuwa akizifuatilia.

No comments: