Wednesday, 3 December 2014

MSAIDIZI WA RAIS NCHINI NIGERIA AWAFANYIA MAOMBI BOKO HARAB KUPITIA TWITTER




Dunia ikiwa inaendelea kupambana na matukio ya Kigaidi kila kukicha huku watu wasio na hatia wakiendelea kupoteza maisha, Nigeria ni moja kati ya nchi ambazo ziko kwenye wakati mgumu wa mapambano hayo.
Doying Okupe ambaye ni msaidizi Maalum wa Rais katika Masuala ya Umma Nigeria ameandika katika ukurasa wake wa twitter kuomba sala kwa maadui wote wa nchi hiyo wakiwamo wale wanaoshirikiana na kundi la kigaidi la Boko Haram kuadhirika.


No comments: