Friday, 5 December 2014

HIZI NI TWEETS ZA RAIS KENYATTA MARA BAADA YA KUACHIWA HURU NA ICC


        

Haya ndio aliyokuwa nayo ya kusema kwenye akaunti yake ya Twitter:  


''Nimepokea habari kwamba kiongozi wa mashitaka ICC ametupilia mbali kesi dhidi yangu ........''.

''Daima nimekuwa nikisema kuwa kesi za Kenya ICC ziliharakishwa sana kupelkewa katika mahakama ya ICC bila kufanyiwa uchunguzi wa kina.

"moyo wangu hauna shauku hata kidogo. ''

"mara kwa mara nimekuwa nikiwasisitizia wakenya na dunia nzima kuwa sina hatia. ''

"umauzi huu ni afueni kubwa sana kwangu kwani ulipaswa kutolewa miaka sita iliyopita. ''

''Nimefurahishwa sana na habari hizi ambazo nimekuwa nikizisubiria tangu jina langu kuhusishwa na kesi iliyowasilishwa Hague dhidi yangu.''

No comments: