Ule usemi wa duniani watu wawili wawili umedhiiika kwa muigizaji wa bongo movies,Wema Sepetu.Je hii ni kweli?.Hebu kutana na huyu mwanadada anaetumia jina la TUERNY kwenye mtandao wa INSTAGRAM.Kizuri zaidi wema mwenye anamfahamu hii nikutokana na moja kati ya marafiki wa Wema Ku-comment kwenye picha ya dada huyu akidai kuwa dada huyu anafanana na Wema na dadae Wema Ku-reply kwa kuonyesha kuwa anamfahamu na anamuita mke mweza.....Hebuzicheki picha zake hizi na kisha useme kama kunaumuhimu wa wawili hawa kupimwa DNA.
No comments:
Post a Comment