Wednesday, 3 December 2014

BAADA YA MVUA YA MAWE KUNYESHA JIJINI ARUSHA,VITUKO VIMEANZA KUIBUKA...


Siku ya juzi wakazi wa Arusha walijawa na mshangao wa aina yake baada ya kushuhudia mvua iliyoambatana na vijimawe vidogo vidogo vya barafu maarufu kama mvua ya mawe ikinyesha jijini humo....
Kufuatia mvua hiyo baadhi ya watu wameanza kufanya vituko kadri akili zao zinavyowatuma kama jamaa huyu hapa chini aliyekuwa anafanya mazoezi ya kuslide kwenye vijibarafu hivyo kama wafanyavyo Ulaya..

No comments: