Saturday, 24 January 2015

SIRI YA WANAWAKE WENYE MWANYA,NDEVU NA KIDOTI CHEUSI YAJULIKANA...

                                                       
 Ushawahi kumuona mdada au mwanamke mwenye mwanya,ndevu au kialama cheusi maarufu kama kidoti???? 
Ka ma wewe ni kijana na bado hujaoa au unamchumba mwenye vitu hivyo vitatu,basi usimuache,kwanini Usimuache????  


Inasemekana Wanawake wenye Mwanya au ndevu ama ki alama cheusi chini ya pua maarufu kama Kidoti huwa  wanawavutia sana Wanaume Smart kutokana na imani kwamba wanawake hao huwa wanabahati katika maisha kwa asilimia kubwa huwa wana maisha mazuri na pia mwonekaono wao huwavutia wanaume walio wengi sana....  

No comments: