Tuesday, 2 December 2014
DIAMOND NA ZALI KIMEANZA KUNUKA...
Baada tu ya kupata uhakika kuwa Diamond na Zari ni wapenzi, ndugu wa Karibu wa Zari wamemcharukia ndugu yao Zari na kumtaka aachane na mtoto mdogo kama Diamond kwani ni mdogo sana kwake.......
Kaka mdogo wa Zari aitwae Karim ndiye alikuwa frontline katika kucharuka huko akimsema Dada take aache kuaibisha familia yao....
Hiki ndicho alichokiandika Karim: "You are ashaming us, how can you date a boy my age. You moved from one man to another in less than 3 days.".....
Hasira hizi za wanandugu zimeibuka siku chache tu baada ya baadhi ya picha zinazowaonyesha wapenzi hao wapya wakigegedana....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment