Monday 1 December 2014

POLISI NA MACHINGA KIMENUKA UPYAAAAAA JIJINI DAR ES SALAAM




Jeshi la Polisi Kanda ya Dar es Salaam jioni ya jana limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya machinga wanaolazimisha kufanyia biashara eneo la Karume baada ya kukataa kuondoka eneo hilo kwa ustaarabu na kuzua vurugu.
Source: Gpl

No comments: