Monday, 8 December 2014

ROSE NDAUKA KACHUMBIWA KWA MARA YA PILIIIIIIIIII???????





Msanii wa Bongo movie, Rose Ndauka ambae mama wa mtoto mmoja  hivi majuzi aliwashtua followers wake kwenye ukurasa wake kwenye mtandao wa INSTAGRAM  baada ya kutupia picha ya mkono wake ukiwa umevishwa pete ya uchumba kidoleni na kuandika alama ya za mshangao (!!!) na badaye kuweka tena picha ya mkebe wa pete pamoja na mkono ukiwa unapete kidoleni na kuandika (Mmmmmmmh#!)  
Kitendo hiki kiliwafanya followers wengi kuachia comment za kumpongeza na LIKES za kutosha lakini hadi sasa Rose Ndauka ambae hivi karibuni  aliachana na mchumba wake Malick Bandawe hajajitokeza kujibu chotote wala kuelezea chochote, swala mabalo hadi leo watu wanavutana juu ya ukweli wa jambo hili.
Picha zenyewe jamani ni hizi hapa chini.....

No comments: