Saturday, 29 November 2014

MAAJABU; JOKA LATOA PESA KUPITIA ATM...


Jambo hili la ajabu la kustaajabisha na lililoacha maswali lukuki limetokea hapa hapa nyumbani kwetu Afrika katika mji wa Harare nchini Zimbabwe,ambapo nyoka huyo aliingia kwenye ATM machine za benki ya Barclays iliyoko barabara ya Angwa Street mjini harare

Mara baada ya nyoka huyo kuchota kiasi cha pesa alitoka kwenye ATM machine na kwenda kwenye gari moja aina ya Noah lilokuwa limepaki kandokando ya ATM na baadhi ya watu walilizingira gari ilo ili kupata picha ya ajili ya tukio lije kurushwa kwenye vyombo vya habari nchini humo 

Baada ya gari hilo kuondoka polisi walifanikiwa kulifukuza na kumkamata aliyekuwa akiendesha na kumhoji tukio lilotokea lakini jamaa huyo alikana na alisema hajui kinachoendelea na aachiwe ili aende zake nyumbani 



No comments: