Thursday, 20 November 2014

MAREKEBISHO: MCHEKI MREMBO ANAESHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA ZA MAUAJI YA KIGOGO HUKO BUKOBA

KUNA HABARI ZIMEZAGAA MITANDAONI KUWA HUYU NDIYE MREMBO ANAYESHIKILIWA NA POLISI KUFUATIA KIFO CHA MFANYABIASHARA MMOJA HUKO BUKOBA..PICHA HII SI YA MDADA HALISI ANAYESHIKILIWA NA JESHI LA POLISI ..

No comments: