Thursday, 20 November 2014

JENIFFER KYAKA aka ODAMA AANZA KUHUBIRI NENO LÀ MUNGU



Huu ndio ujumbe wa mwanadada Jennifer Kyaka - Odama
Kupitia mtandao mmoja maarufu wa kijamii, mwanadada Odama ametoa ujumbe huu kwa watu wote 

"...Natafakari zab.116:12 "Nimrudishie nini Bwana kwa Ukarimu wake wote alionitendea? Ameniwezesha mangapi ikiwemo uhai? Ameniepusha mangapi kikiwepo kifo? Tena ni Ndugu wangapi nilianza nao Mwaka lakini mpaka dakika hii sipo nao? Nimemtendea nini MUNGU mpaka dakika hii mimi napumua? Naomba uungane nami katika kutafakari fungu hili kwa kusema yote ni kwa NEEMA TU. Unadhani ana mpango wa kuwa mchungaji ama Nabii? Hebu tusubiri

No comments: