Thursday 20 November 2014

WAJUE WANAWAKE WAWILI WALIO MATAJIRI BARANI AFRIKA

                                     Isabel Dos Santos.                                  

Je unawafaham wanawake wawili pekee walioingia kwenye listi ya matajiri 50 Afrika?
Jarida la Forbes lilitoa listi ya matajiri hao ambapo Aliko Dangote mfanyabiashara kutoka Nigeria anaongoza kwenye listi hiyo.
Wanawake hao wawili ni Isabel dos Santos ambaye ni mtoto wa aliyekuwa Rais wa Angola, Jose Eduardo dos Santos amewekeza kwenye miradi mbalimbali ikiwemo kampuni za mitandao ya simu za mkononi ni mwanamke tajiri zaidi ambaye ameingia kwenye listi hiyo, pamoja na Folorunsho Alakija ambaye ni mfanyabiashara na mwanamitindo wa Nigeria.  
    Folorunsho Alakija

No comments: