Thursday, 11 December 2014
KUFUATIA PICHA ZAKE KUONEKANA MITANDAONI AKIWA NA WEMA ...VAN VICKER AFUNGUKA..
Staa wa kike wa Bongo Movie,Wema Sepetu yuko Ghana kwenye maandalizi ya movie mpya ‘Day After Death’ iliyomuhusisha kipenzi cha akinadada, staa wa filamu Van Vicker.
Kupitia kwenye instagram ya staa huyo wa Ghana alifafanunua zaidi kuhusu ujio wa filamu hiyo mpya aliyoshirikiana na Wema Sepetu.
‘#MyNextBigThing I am excited abt our Ghana Tanzania collaboration. You finally landed. Today was day 1. good stuff. I love the way you are passionate abt what you want and u get it done. Enjoy workin with you. watch for Day After Death (D.A.D) #DayAfterDeath starring Wema@wemasepetu and me van vicker. I am directing again ya’ll and acting. it’s challenging but I love the challenge. Hey its my daughter’s j’dyl debut in films as an actor.Aliandika Van VVicker
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment