Friday 12 December 2014

WEMA ATISHIA KUMPA KICHAPO PENNY,KISA TABIA YA UMBEA.....

Ama kwa hakika ukistaajabu ya Musa basi jiandae kuyaona ya Firauni....na Wahenga walituasa ya kuwa siku zote...Wagombanao ndio wapatanao......
                               

                                       

Ikiwa jana ni siku ya tatu sasa tangu atue nchini Ghana,akionekana mwenye furaha tele, mwanadada Wema Sepetu akiwa Location na Van Vicker, aliweka picha hiyo hapo juu mtandaoni na akafunguka kuwa tayari ameshapapenda Ghana.
 Mwenyewe aliandika maneno haya; "Day 3... & Im loving Ghana already..... Silly us before we start shooting our next scene.... #NextBigThing#DayAfterDeath (D.A.D) starring Myself and Ghana's very own Van Vicker.... Let me nat forget he is also Directing it ey...."   
Kisha akapost na picha hii hapa chini ambayo ilianza kuleta maneno.....


Maneno ya hapo chini yanasomeka hivi " Ya mwisho bathi....Hii hapa nam dedicatia mtu.....Can u guess who...??
Hapo ndipo 
watu wakafunguka kwa kutaja majina kibao, lakina majina matatu ndio yalitajwa sana, kuwa amemdedicatia, Diamond, Aunt Ezekiel na Martin Kadinda. 

Lakini katikati Wema aka-comment “ahahha mnapatia patia lakini sijui kama ndo huyo....
 
PENNY ATOA COMMENT YAKE...
”mtangazaji Penny nae aliibuka na ku-comment “Niseme???” Wema kwa uatani akajibu “usilete umbea wako hapa.... ntakuchapa....” Hadi sasa haijafahamika ni nani huyu alie-Mdediketia picha hiyo.

Muigizaji Wema Sepetu hivi sasa yupo nchini Ghana kutengeneza MOVIE yake mpya inayoitwa Day After Death (DAD) huku muhusika mkuu ni Wema mweyewe na muongozaji wa filamu hiyo ni Van Vicker amabe ni pia muigizaji wa huko huko Ghana.Kazi yote inafanyika chini ya kampuni ya Endless Fame inayomilikiwa na Wema mwenyewe.

No comments: