Thursday, 11 December 2014

ITS NOW OFFICIAL; MENGI AMVISHA PETE YA UCHUMBA K-LYN WAKIWA DUBAI...


Tajiri anayeshika nafasi ya pili hapa Tanzania Mh Reginald Mengi amemchumbia aliewahi kuwa Miss Tanzania 2001 Jacqueline Ntuyabaliwe (Klyn)

Tukio hilo lilitokea katika siku ya birthday ya Jack ambayo ilifanyika huko Dubai hapo ndi Mh Mengi alipoamua kumvisha pete mchumba wake huyo ambaye mpaka sasa wana watoto wa wawili ambao ni mapacha,Naye Jack alipoulizwa na Mheshimiwa huyo Will you "Marry Me" naye akajibu "I Do"
Kila la Kheri kwenu Mr&Mrs Mengi.....
Credit Bongoclan.co.tz

No comments: