Thursday 11 December 2014

BAADA YA KUANDIKA BROKEN ENGLISH FACEBOOK,SHILOLE AFUNGUKA...


 
 


BAADA YA HABARI HIYO KUZAGAA MITANDAONI,SHISHI BABY

 ALIKUWA NA HAYA YA KUWAAMBIA RAIA
"Nimetumiwa hii pic na kaka yangu  dully sykes kuhusu hii account fake ya Facebook na najisikia vibaya coz si Mimi na kama unatumia jina langu kama shabiki yangu sawa ila usiandike habari za uongo na zisizoeleweka .ila Nina fanpage tu ya Facebook inayoitwa shilole kiuno na nna account twitter pia inaitwa shilolekiuno.so msidanganyike nje ya majina hayo.nawapenda Sana na tusaidiane kuwaambia na wengine.”



No comments: