BAADA YA DAVIDO KUTOA KAULI CHAFU DHIDI YA WATANZANIA, DIAMOND NAE AFUNGUKA..
Baada ya idris kushinda ule mshiko katika mashindano ya BBA kule kwamadiba davido akatoa kauli kwamba ‘they cheat again’ kwaupande wake Diamond ilimuuma sana hiyo kauli na kuhisi kwamba hata kwenye tuzo za Channel O pia inaonekana walicheat pia..
Usiku huo huo wajuzi Diamond alitajwa kuwa mshindi wa Future Awars ndipo Diamond alipoamua kuupload ile picha ya tuzo nakuandika haya....
“Thanx god, we have cheated another one on The Future Awards Africa in Lagos Nigeria… #SameDay #SameNight Thank you aALLAH!”
No comments:
Post a Comment