Mambo yameanza kuwa mambo. ..ZARI the boss lady ameibuka na kumpa makavu ze beautiful Onyinye wa hapa kwetu Bongo Madam Wema Sepetu kuwa Diamond Sio Mume wa mtu na wala sio mchumba wa mtu kwa sasa IN SHORT DIAMOND NI SINGLE BOY..
Hivyo kitendo cha yeye kutoka out naye ni sawa kwani ni maamuzi ya Diamond Mwenyewe kwa vile kwa sasa yupo huru kabisa..Hivyo Wema Sepetu na Team yake wakae Kimya Waangalie tu jinsi Project inavyokwenda kwani muda wake wa kujivinjari na Diamond ulishapita...
Sasa tusubiri tuone jibu la Madam Wema litakuwaje...
No comments:
Post a Comment