Friday 12 December 2014

VX LACHOMWA MOTO NA WANANCHI BAADA YA KUGONGA NA KUUA MADEREVA 3 WA BODABODA


 Gari aina ya Toyota VX likiwaka moto baada ya kuchomwa na wananchi mchana leo Bunju B jijini Dar kwa kusababisha ajali na kuuwa madereva watatu wa bodaboda.  
   


Wananchi wakiwa eneo la tukio baada ya gari aina ya Toyota VX imeua madereva watatu wa bodaboda mchana leo.
   


... Gari Likiendelea kuteketea kwa moto.
GARI aina ya Toyota VX imeua madereva watatu wa bodaboda mchana wa leo huko Bunju B, Dar na gari hiyo kuchomwa moto na wananchi!

No comments: