Friday, 12 December 2014

IDRIS KUMTOSA DEMU WAKE WA MIAKA MINGI????????????

     


 Mshindi wa Big Brother mwaka jana Dillish Methew (pichani) kutoka Namibia alitengana na mpenzi wake mara baada ya kutoka ndani ya jumba hilo kwa kisingizo kuwa mpenzi wake huyo alikua na mahusiano mengine wakati yeye akiwa anashiriki shindano hili. 

SWALI......
JE MTANZANIA MWENZETU BWANA IDRIS SULTAN NAYEYE ANAWEZA KUWA NA MAWAZO KAMA HAYO ALIYOKUWA NAYO DILISH HALI ITAKAYOPELEKEA KUMTOSA MPENZI WAKE ALIYEKUWA NAE KABLA YA KWENDA SAUZIIIIIIIIIIII????????

No comments: