Saturday, 20 December 2014

WOLPER NA KING MAJUTO NDANI YA BONGE MOJA LA MOVIE


      
Tukiwa unaelekea ukingoni mwa mwaka 2014 , Waigizaji Jackline Masawe “Wolper”na King Majuto wameonekana wakiwa mzigoni kutengeneza kitu kipya. Mwanadada Wolper aliidondosha picha hii na kuandika “New Movie with majuto dady”

Ingawa bado jina la movie halijawekwa hadharani, pamoja na lini movie hiyo itatoka, mashabiki wengi mitandaoni wameonyesha kutegemea kazi nzuri kutoka kwa hawa watu kwani ni waigizaji wenye uwezo na uzoefu mkusana.
Je wewe wategemea movie ya namna gani kutoka kwa wakali haooooo!!!????????????

No comments: