Pati ya Zari ‘AllWhite CirocParty’ iliyofanyika usiku wa kuamkia Decemba 19 mjini Kampala imeisha saa 11 alfajiri, Kwa mjibu Wa wahusika wa club @guvnoruganda wanasema ukumbi wao haujawahi kujaza watu kama ilivyokuwa kwenye party hii, licha ya watu kujaa ndani bado palikuwa na watu walioshindwa kuingia na kubaki nje .
Zifuatazo ni picha zilizopigwa kuanzia chumbani,Diamond na Zari walipokuwa wakijiandaa hadi ukumbini party hiyo ilipofanyika....
No comments:
Post a Comment