Monday, 15 December 2014

MISS TANZANIA AWA WA PILI ON MISS WORLD PEOPLE'S CHOICE AWARD



                               
 

Hakika lile zoezi la uhamasishaji wa kumpigia kura mrembo wa kutoka Tanzania Happiness Watimanywa limezaa matunda mara baada ya kumuwezesha mrembo huyo kushika nafasi ya pili katika kipengele hicho cha kupigiwa kura......

Licha ya kushika nafasi hiyo,muwakilishi wetu huyo hakuweza kupata nafasi ya kuingia kwenye kumi bora ya mashindano hayo makubwa ya urembo duniani kwani mshindi wa kwanza ndie hupata nafasi ya kuingia 10 bora ama 11 bora kama ilivyokuwa kwa mwaka huu ambapo miss Thailand alipata nafasi hiyo baada ya kuibuka namba moja kwenye kipengele cha Miss World People's Choice...
           
Picha ya Happiness Watimanywa kama ilivyokuwa ikionekana kwenye eneo la kupigia kura.

Orodha ya washindi wa kipengele cha The People's choice...

No comments: