Tuesday, 16 December 2014

DIAMOND ASINDIKIZWA NA MAGARI YA POLISI KWENDA AIRPORT HUKO MOMBASA

Diamond akisindikizwa Airport  Kwa Msafara wa Polisi Huko Mombasa 
Tusipomkubali Watamkubali
Tujifunze Kuthamini Vizuri vyakwetu Watanzania
Hata Yesu walimkataa kwao, walimpiga mawe na kusema kuwa hawawezi kufundishwa na mtoto wa fundi selemara na mwisho wakamtundika hadi kufa, lakini baadae alifufuka na mwishowe akawaokoa. Sasa ndio tunachokifanya watanzania kwa Diamond, yaani hatumkubali lakini anatuletea heshima kwa taifa letu, Tubadilikeni na tusiwe kama wayahudi.


No comments: