Friday 19 December 2014

MOVIES ZA KIBONGO KUSHUKA BEI IFIKAPO MWAKANI



Baadhi ya waigizaji na wadau wanaofanya kazi na kampuni ya Steps Entertainment , leo asubuhi walitambulisha bei mpya na muonekano mpya wa DVD covers za filamu zao kwenye ukumbi wa habari maelelzo.

Habari njema kwa wapenzi wa filamu za kibongo ni kuwa kuanzia mwezi wa pili mwakani CD moja itauzwa shilingi 1500 kwa bei ya rejareja badala ya shilingi 3000 iliyopo sasa.
Mbali na hayo wasanii waliazimia kuendeleza harakati za kupambana na wezi wa kazi zao.
Una maoni gani juu ya hili.

No comments: