Bwana harusi ambaye siku ya harusi yake alivaa gauni kama bibi harusi, kufanana kwao kulizua utata, nani mwanaume na nani mwanamke, ilibidi hata vyeti vya kuzaliwa viletwe ili kumaliza utata huo.
Allina na Ellison siku ya harusi yao
Hii ni kutoka Russia, Allina Davis na Ellison Brux walikuwa kwenye uhusiano kwa muda mrefu, makubaliano yao ilikuwa wavae gauni siku ya harusi yao.
Padri alipata kigugumizi siku ya kufungisha ndoa hiyo, ikabidi kiletwe cheti cha kuzaliwa cha mwanaume ili ndoa hiyo ifungwe.
No comments:
Post a Comment