Mario Balotelli ni mchezaji wa Liverpool alipost picha hii kwenye page yake ya Instagram akiangalia timu yake kupitia tv akiwa nyumbani.
Liverpool na Chelsea walipepetana kugombea kikombe cha Capital One na timu hizo zilitoshana nguvu kwa kufungana goli moja kwa moja Balotelli akuweza kuwepo uwanjani kwa vile ni mgonjwa
No comments:
Post a Comment