Friday, 23 January 2015

DIAMOND ATINGA KWENYE TOP TEN ZA TRACE TV YA UFARANSA


Post  hii  ni  maalumu  kwajili  yako  mpendwa  msomaji kama ulikuwa na hamu ya kufahamu video za Afrika zinazofanya vizuri duniani na iliyofanikiwa kuchukua nafasi kwenye countdown za nchi kubwa.


Kituo cha TV cha kimataifa cha Trace Urban cha Ufaransa,  Jan 21 kilitoa list ya top 10 ya nyimbo kali za Afrika ikiwemo ya Diamond Platnumz iitwayo Nitampata Wapi.

Hii  ni  list  ya  video 10 kali:

10.Jose Chameleone- Wale Wale


 9.Solidstar- My Body


 8.Mi Abaga- Bad Belle ft Moti Cakes


 7.Wizkid- Ojuelegba


 6.Davido ft Dj Arafat- Naughty


 5.Diamond Platnumz- Nitampata wapi


 4.Seyi Shay- Crazy ft Wizkid


 3.AKA- All Eyes On Me ft Burna Boy, Da Les, JR


 2.Timaya- Sanko 


1.Burn Boy- Check and Balance

No comments: