Friday, 23 January 2015
STATUS TATA ZA WOLPER ZAZUA GUMZO MITANDAONI
Mrembo na mwigizaji mwenye mvuto wa aina yake, Jackline Massawe “Wolper” toka jana amekuwa anaachia picha na jumbe mbalimbali mtandaoni zenye maneno mazito ambayo yamepelekea wengi kuhisi labda kuna kitu kimemkuta mwanadada huyu na sasa ameamua kupunguzia” stress” zake mtandaoni, huku wengine wakamini kuwa hizi ni jumbe za kawaida tu na hakuna kinachomsibu.
Mrembo huyu alianza na hizi juzi;
“Your enemy can be your friend and your best friend can be your worst enemy**rising”
“A true friend never gets in your way unless you happen to be going down......”
Jana kaibuka na hizi;
“I don't regret the things I've done, I regret the things I didn't do when I had the chance...”
“There is only one thing makes a dream impossible to achieve the fear of failure.”
WANASAIKOLOJIA TUAMBIENI HAJAVURUGWA HUYU????
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment