Wednesday, 21 January 2015
DIAMOND NOMA,AWEKA APPLICATIONA YAKE MWENYEWE GOOGLE PLAY....
Star wa Muziki wa kizazi kipya Diamond Platnumz bado anazidi kuongeza wigo wa kutoboboa kimuziki hasa kwa soko la ki mataifa,kwani hivi sasa ameweza kuwa amefikia hatua ya kuwa ana miliki application yake mwenyewe ya google play.
Mbali na kuwa ameanza kutoka nje ya mipaka zaidi ya Tanzania kwa kufanya collabo na wasanii wengi wa kimataifa pia ameona fursa nyingine ya kuzidi kuji tangaza zaidi.
Application hiyo itasaidia kuonyesha kila kitu kinacho muhusu Diamond ikiwemo maisha ya kawaida,muziki pamoja na event zake zijazo.ameamua kuwa rahisishia mashabiki kwa kuipata kwa kui download bure kabisa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment