Saturday, 17 January 2015

CHEKI PICHA ZA WATOTO WANAOFANANA NA MASUPASTAA DUNIANI


 Kuna msemo usemao duniani wawili wawili, hivi uliwahi kuambiwa kuna mtu unafanana naye au kukutana na mtu ambaye anafanana au anafanana na mtu unayemjua?

Hapa chini kuna picha za masupastaa na watu maarufu duniani ambao kuna watoto wadogo ambao wanaonekana wanafanana nao kiasi kwamba unaweza kuhisi picha hizo ni za mastar hao wakiwa wadogo au ni watoto wao wa kuwazaa, lakini hawana uhusiano wowote. 







No comments: