Saturday 17 January 2015

MCHEKI MWANAUME MWENYE SHEPU NA HIPS KUBWA ZAIDI....LAZIMA UDATE

Huwezi Kuamini Kama Huyu ni Mwanaume wa Shoka Kabisa na sio Shoga ila ana Hips Balaa , Tena hips ambazo Wanawake wengi huzitamani mpaka kwenda kuzitafuta kwa Operation na Kumeza madawa ya kichina...Anaitwa Micah ni Kijana Mwanamuziki wa mwenyeji wa Chicago ..  


Leo ametupia picha nyingine kwenye account yake ya Instagram kama anavyoonekana hapo juuu kiasi cha Midume mingine kucomment na kuacha number zao za simu
I know a lot of women out there will be super jealous of this 20 year old man who has exactly what the likes of peace Hyde, Joselyn Dumas and many others have; the hips and the curves.
According to the 20-year-old aspiring singer says, his measurements are – chest: 41.5″ waist: 37″ and butt/hips: 63″.
His looks have so far garnered him a lot of followers with some bashing him for his looks, but Micah seems unperturbed– especially since he claims to have been born this way.
Guys, never mistake this guy for a lady in the night, wink. 






No comments: