Kwa namna ya kipekee kabisa nianze kwa kuwatakia heri ya mwaka mpya wa 2015 watembeleaji wote wa Ze Uploading blog.
Tangu tarehe 30/12/2014 hatukuweza kurusha habari yoyote ile hadi hii leo,hii ilitokana na urekebishaji wa blog hii unaoendelea hadi sasa.
Nitumie fursa hii kuwaomba radhi watembeleaji wetu wote na nawaahidi hivi punde tu blog hii itaendelea kukuletea habari motomoto kutoka kila kona ya dunia...
Niwatakie mapumziko mema ya mwisho wa wiki..
Saturday, 3 January 2015
Tuesday, 30 December 2014
MABOSI LAKE OIL WAENDELEZA UNYANYASAJI,WAWAVUA NGUO WAFANYAKAZI WAO...
Mfanyakazi wa kampuni ya mafuta ya Lake Oil, Deocres Deus Ruta (32) anayedai kunyanyanswa na mabosi zake.
Baadhi ya vigogo wa kampuni ya mafuta ya Lake Oil wanadaiwa kumvua nguo mfanyakazi wao Deocres Deus Ruta (32) (pichani)ambaye ni dereva wao pia vijana wawili ambao siyo wafanyakazi wa kampuni hiyo.
MVUA ILIYONYESHA DAR SIKU YA JANA,YAUA WAWILI
MVUA
iliyonyesha jijini Dar es Salaam jana, imeleta balaa baada ya kuua watu wawili, katika maeneo tofauti ya jiji, likiwemo tukio la mtoto wa miaka minane kufa baada ya kuzidiwa na maji yaliyoingia ndani ya nyumba aliyokuwa amelala.
HATARI:MGOMBEA URAIS ATABIRIWA KIFO
Maalim Hassan Hussein, ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mtabiri maarufu nchini, marehemu Sheikh Yahya Hussein, ametabiri mambo 18 yatakayotokea mwakani, likiwamo la kufariki ghafla kwa kiongozi mmoja mzee ambaye yumo kwenye mbio za urais mwakani.
HUYU NDIYE MWANAMKE MWEUSI TAJIRI ZAIDI DUNIANI...AMPIKU OPRAH
Bilionea wa Nigeria, Folorunsho Alakija amempiku Oprah Winfrey kama mwanamke mweusi tajiri zaidi duniani kwa kuwa na utajiri wa dola bilioni 7.3 kwa mujibu wa orodha iliyotolewa na jarida la Ventures Africa.
Monday, 29 December 2014
MC ZIPOMPA ATAPELIWA NA STARA THOMAS,AAHIDI KUMVURUGA VURUGA...
Glads Chiduo ‘MC Zipompa’.
MSHEREHESHAJI maarufu Bongo, Glads Chiduo ‘MC Zipompa’ ameibuka na kusema kwamba endapo staa wa muziki wa Kizazi Kipya, Stara Thomas hatamlipa fedha zake, atamvuruga kwani amemvumilia vya kutosha na ameenda kinyume na makubaliano yao.
MSHEREHESHAJI maarufu Bongo, Glads Chiduo ‘MC Zipompa’ ameibuka na kusema kwamba endapo staa wa muziki wa Kizazi Kipya, Stara Thomas hatamlipa fedha zake, atamvuruga kwani amemvumilia vya kutosha na ameenda kinyume na makubaliano yao.
100% ROSE MUHANDO ASUMBULIWA NA PEPO CHAFU LA UTAPELI...SAFARI HII AMTAPELI MDAU WAKE WA KARIBU SANA...
Nyota wa muziki wa injili nchini, Rose Athuman Muhando.
LILE jinamizi la kupokea fedha kwa ajili ya kushiriki tamasha la kuimba nyimbo za Injili kisha kutotokea siku ya tukio linazidi kumwandama nyota wa muziki huo nchini, Rose Athuman Muhando, safari hii akidaiwa kumliza tena mtu, Ijumaa Wikienda lina kesi hiyo mkononi.
HII NI DHARAU: RAIS OBAMA AFANANISHWA NA TUMBILI...
Korea kaskazini imeilaumu Marekani kutokana na mataizo ya mtandao ambayo yameikumba siku chache zilizopita.
Subscribe to:
Posts (Atom)