Saturday 17 January 2015

WANAOPENDA KUPIGA PICHA ZA SELFIE KUMBE WANA TABIA HII YA KIPEKEE....


Kuna utafiti uliofanywa na Ohio State University Marekani, unahusu masuala ya athari zinazoweza kusababishwa na watu kupendelea kupiga Selfie na kupost kwenye mitandao kama Istagram. 

CHEKI PICHA ZA WATOTO WANAOFANANA NA MASUPASTAA DUNIANI


 Kuna msemo usemao duniani wawili wawili, hivi uliwahi kuambiwa kuna mtu unafanana naye au kukutana na mtu ambaye anafanana au anafanana na mtu unayemjua?

KUTANA NA MWANAMKE ALIYEJIGUNDUA NI MJAMZITO SAA MOJA KABLA YA KUJIFUNGUA

Wanawake wanapokuwa wajawazito huwa na dalili mbalimbali ambazo zinashiria kwamba kuna kiumbe kinatarajiwa kuzaliwa baadaye.
Lakini story ya mwanamke huyu inaweza kukushtua kidogo, alishindwa kufahamu kama ni mjamzito kwa kipindi chote cha miezi tisa. 

AWAUZIA WATEJA WAKE MKOJO BADALA YA POMBE

Jamaa mmoja amefikishwa mahakamani Uingereza, kwa kuwa kitendo alichokifanya wengi hawakupendezwa nacho!

Nicholas Stewart alitumia chupa zenye nembo ya Smirnoff, Jack Daniels pamoja na Vodkaili watu wasigundue kwamba anachowauzia haikuwa whisky, chupa hizo zilijazwa mkojo.

MCHEKI MWANAUME MWENYE SHEPU NA HIPS KUBWA ZAIDI....LAZIMA UDATE

Huwezi Kuamini Kama Huyu ni Mwanaume wa Shoka Kabisa na sio Shoga ila ana Hips Balaa , Tena hips ambazo Wanawake wengi huzitamani mpaka kwenda kuzitafuta kwa Operation na Kumeza madawa ya kichina...Anaitwa Micah ni Kijana Mwanamuziki wa mwenyeji wa Chicago ..  

Friday 16 January 2015

PANYA ROAD 119 WAACHIWA HURU KWA KUKOSEKANA KWA USHAHIDI WA KUTOSHA....

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu  Dar es Salaam limewaachia huru vijana 119 wanaodaiwa  kujihusisha na vitendo vya kihalifu  maarufu kama ‘panya road’  baada ya kukosekana kwa ushahidi wa kutosha.

POMBE SIO CHAI,MREMBO AUMBUKA

ALICHOKISEMA CHAMELEONE KUHUSU MUZIKI WA DIAMOND NA UHUSIANO WAKE NA ZARI

Ile couple inayozungumziwa na wengi East Africa, ya msanii Diamond Platnumz na Zarina Hassan aka Zari the Bosslady bado yako mengi, mitandaoni, kwenye vyombo vya habari kuhusu wao.