Saturday, 17 January 2015

AWAUZIA WATEJA WAKE MKOJO BADALA YA POMBE

Jamaa mmoja amefikishwa mahakamani Uingereza, kwa kuwa kitendo alichokifanya wengi hawakupendezwa nacho!

Nicholas Stewart alitumia chupa zenye nembo ya Smirnoff, Jack Daniels pamoja na Vodkaili watu wasigundue kwamba anachowauzia haikuwa whisky, chupa hizo zilijazwa mkojo.

MCHEKI MWANAUME MWENYE SHEPU NA HIPS KUBWA ZAIDI....LAZIMA UDATE

Huwezi Kuamini Kama Huyu ni Mwanaume wa Shoka Kabisa na sio Shoga ila ana Hips Balaa , Tena hips ambazo Wanawake wengi huzitamani mpaka kwenda kuzitafuta kwa Operation na Kumeza madawa ya kichina...Anaitwa Micah ni Kijana Mwanamuziki wa mwenyeji wa Chicago ..  

Friday, 16 January 2015

PANYA ROAD 119 WAACHIWA HURU KWA KUKOSEKANA KWA USHAHIDI WA KUTOSHA....

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu  Dar es Salaam limewaachia huru vijana 119 wanaodaiwa  kujihusisha na vitendo vya kihalifu  maarufu kama ‘panya road’  baada ya kukosekana kwa ushahidi wa kutosha.

POMBE SIO CHAI,MREMBO AUMBUKA

ALICHOKISEMA CHAMELEONE KUHUSU MUZIKI WA DIAMOND NA UHUSIANO WAKE NA ZARI

Ile couple inayozungumziwa na wengi East Africa, ya msanii Diamond Platnumz na Zarina Hassan aka Zari the Bosslady bado yako mengi, mitandaoni, kwenye vyombo vya habari kuhusu wao.

SITTI MTEMVU APOKELEWA KIFALME MKOANI MOROGORO

Mshiriki wa Shindano la Miss Tanzania mwaka 2014 Sitti Mtemvu.
Mrembo huyo ambaye hivi sasa anaongoza taasisi yake inayofahamika kama Sitti Tanzania 2015, alipofika mjini hapa, baadhi ya mashabiki wake walijipanga kutokea eneo la Nanenane na kuambatana naye hadi katika hospitali ya mkoa ambako alitoa msaada wa vyandarua katika wodi ya wazazi. 

Wednesday, 14 January 2015

MBIO ZA URAIS,BODI YA WAKURUGENZI NHC VILISABABISHA PROF TIBAIJUKA AFUKUZWE KAZI,SAKATA LA ESCROW LATUMIKA KAMA KIVULI.

Ndugu zangu,wananchi wenzangu na watanzania wenzangu na wapenzi wa blogu hii,inafahamika kuwa aliyekuwa Waziri wa Kazi,Nyumba na Mandeleo ya Makazi Prof Tibaijuka alifukuzwa kazi  kutokana na ukosefu wa Maadili kama ambavyo Rais Jakaya Kikwete alivyodai, 

Saturday, 3 January 2015

TUNAOMBA RADHI

Kwa namna ya kipekee kabisa nianze kwa kuwatakia heri ya mwaka mpya wa 2015 watembeleaji wote wa Ze Uploading blog.
Tangu tarehe 30/12/2014 hatukuweza kurusha habari yoyote ile hadi hii leo,hii ilitokana na urekebishaji wa blog hii unaoendelea hadi sasa.
Nitumie fursa hii kuwaomba radhi watembeleaji wetu wote na nawaahidi hivi punde tu blog hii itaendelea kukuletea habari motomoto kutoka kila kona ya dunia...
Niwatakie mapumziko mema ya mwisho wa wiki..