Thursday, 29 January 2015

HUYU NDIYE MTANGAZAJI MWENYE SHEPU KAMA KALIMATI TANZANIA

MTANGAZAJI wa kituo cha Redio Times, Hadija Shaibu ‘Dida’, juzikati aliamua kutoa siri yake ya moyoni na kuweka wazi juu ya tabia yake ya kuachika na kupata mume mpya mara kwa mara.Aliweka bayana kwamba anaachika na kupata mwanaume mpya haraka kwa sababu ana shepu ya kalimati (aina ya andazi linalonona).  

Mtangazaji wa kituo cha Redio Times, Hadija Shaibu ‘Dida’ akipozi.“Naomba watu wajue kuwa ukoo wangu, Rose na wenzake wao Mungu aliwapatia shepu na urefu wa umbo lakini mimi nina shepu ya kalimati na ndiyo maana napata waume...ingawa kwa leo sina mume wala mchumba,”



No comments: