Sunday, 21 December 2014

HATA UWE PEDESHEEE KIASI GANI,KAMA HAUKO TAYARI KWA "MAMBO FLANI" HUWEZI KULA MZIGO KWA SHILOLE (SHISHI BABY)

Mwigizaji na mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Zuwena Mohamed, maarufu kama shilole amedai kuwa anaweza kufanya ujinga wowote humu duniani lakini linapokuja suala la mapenzi hapo yupo makini sana na kamwe hawezi kufanya ujinga wa kujisahau au kukurupuka tu kwa kumuangalia MTU alivyo kwa uzuri au pesa zake... 

CR7 NOMA,AWEKA REKODI NYINGINE ULIMWENGU WA SOKA

Cristiano Ronaldo amekua mchezaji wa kwanza duniani kuzoa vikombe vyote kwa ngazi ya club vya ligi ya ndani ya nchi husika anayocheza akiwa na vilabu viwili tofauti akiwa na Man united Ronaldo alifanikwa kushinda mataji yafuatayo..   

BAADA YA MTOTO WA RAIS OBAMA KUBEBA MIMBA,MAMA YAKE ASEMA MIMBA ZA MAPEMA NI KAWAIDA KWENYE FAMILIA YAO.....



 
Baada ya habari hii kusambazwa na kujadiliwa sana mitandaoni na kwenye vyombo mbalimbali vya habari..Mke wa Rais Obama,Michelle Obama alipokuwa kwenye mahojiano na kituo kimoja cha habari amefunguka bila kusita kuhusiana na ujauzito wa mwanae Malia Obama...Kufunguka huko kuliacha mshangao na wengine wakifurahia kile alichokiongea..Mama huyo bwana alitoa matamshi haya yafuatayo;

BAADA YA KUINGIA MKATABA WA BILIONI 8.5 NA WACHINA,DIAMOND AMPA ONYO JOKATE KIDOTI...

Baada ya mwanadada Jokate kupitia kampuni yake ya KIDOTI kuingia mkataba mnono wa bidhaa zake na kampuni ya wachina, msanii Dimaond Platnumz amefunguka haya yafuatayo…

LULU AFIKIRIA KUZAA, ASEMA KUZAA NI HESHIMA WALA SI KUZEEKA...

 

Mrembo na mwigizaji wa filamu hapa nchini, Elizabeth Michael “LULU” ameamua kufunguka na kusema mtazamo wake kuhusu swala la wasichana kuogopa/kukataa kuzaa kwakuofia kuwa watazeeka. 

MATOKEO YA MECHI ZA JANA NA MSIMAMO LIGI KUU YA ENGLAND BAADA YA MECHI ZA JANA



KITUKO; MKE AMKIMBIA MUMEWE KISA DOZI NZITO KITANDANI...


 
Hiki ni kituko cha mwaka kilichotukia katika kituo cha polisi bulenga, wakati mwanamke mmoja alipokuwa akiomba poo na huku akimtaka mumewe amsamehe na kumwachilia aende zake kutokana na mumewe kuwa na hamu ya kufanya ngono isiyo na koma.  Ruth Nakyeyune,alikuwa akilia na hanyamazishwi kwa madhila apatayo kutoka kwa mumewe huku akimuomba mumewe mwenye asili ya Nigeria bwana Sultan Ali Baba.. 

MONALISA APINGA UAMUZI WA STEPS KUSHUSHA BEI ZA DVD ZA BONGO MOVIE,YADAIWA LENGO SI KUPAMBANA NA MAHARAMIA BALI NI KUZIUA KAMPUNI NYINGINE ZA KUSAMBAZA KAZI ZA WASANII ILI STEPS IBAKI PEKE YAKE

Yvonne Cherryl (Monalisa) mmoja wa waigizaji maarufu ambao wamepigana sana kuifikisha tasnia ya filamu Tanzania hapa ilipo leo ameonekana kutoridhishwa na hatua walioichukua kampuni ya Steps Entertainment kuuza filamu za kitanzania kwa shilingi 1500 badala ya 3000 kwa bei ya rejareja kuanzia mwakani mwezi wa pili.