Saturday 27 December 2014

DIAMOND:.."NIMEMPENDA ZARI ILI NIJULIKANE NCHINI UGANDA"..


                            
Mapenzi bhana! Baada ya kutoka kimalavu na kumwagana na mwanadada mwenye mvuto Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kisha kuangukia kwenye ‘utamu’ wa penzi la mwanamama anayekimbiza Uganda, Zarinah Hassan a.k.a Zari au The Boss Lady, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameamua kuanika siri tano za kilichomvutia kwa staa huyo gumzo Afrika Mashariki. 

HUYU NDIYE MTANGAZAJI MCHAFU ZAIDI ANAETANGAZA BBC


 Raphael Tenthani

Katika maisha ya kawaida tumezoea kuona kuwa watangazaji na waandishi wa habari hupendelea kuonekana SMART kwani wao ni kioo cha jamii,,ila kwa hili ni tofauti....
Pichani ni Raphael Tenthani, mwakilishi wa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) nchini Malawi.   

Friday 26 December 2014

Mh.MBUNGE AITELEKEZA FAMILIA BAADA YA NDOA KUVUNJIKA


Aliyekuwa mpenzi wake na mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu, Faiza Ally amemtupia lawama mzazi mwenzake kuwa hamjali mwanae baada ya kuachana. 
Faiza alikuwa akiongea kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV ambapo alikiri kuwa kuachana na Sugu kunaendelea kumuumiza. 

Wednesday 24 December 2014

KAOLE SANAA GROUP LAFUFUKA TENA,LABATIZWA JINA JIPYAAAAAA....


Kundi kongwe la sanaa ya uigizaji na ngoma lililotoa vipaji vingi vya uigizaji hapa nchini, Kundi la Sanaa la Kaole “Kaole Sanaa Group” limerudi ila sasa kwa jina lingine..habari kamili ametueleza hapa, Halima Yahya “DAVINA”moja kati ya waliokuwa kaole na sasa wameasisi hii kaone, anasema; 

BAADA YA KUENGULIWA UWAZIRI,TIBAIJUKA AHAMIA JIMBONI KWAKE....


                
Wananchi mkoani kagera wamepinga uamuzi wa Rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete kwa kumuondoa madarakani waziri wa ardhi nyumba na makazi na kuwaweka kiporo viongozi wengine walioshiri kuhujumu pesa za akaunti ya Tegeta Escrow.
Wakiongea na ITV wananchi wa mkoa huo wamesema hawajajua nini hatima ya Rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania Dk. kikwete kwa kuwaweka Kiporo mawaziri wengine waliohusika katika sakata hilo na kumuuondoa waziri Tibaijuka napia wamebaki na sintofahamu ambapo wamemtaka Rais kutoa ufafanuzi kuwa licha kumg’oa madarakani kiongozi huyo Je, Pesa hizo zitarudishwa kwenye akauti hiyo ya TEGETA ESCROW au la.

KUFUATIA SAKATA LA ESCROW KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI NA MADINI ASIMAMISHWA KAZI


           
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Yohana Sefue, amemsimamisha kazi kwa muda Ndugu Eliakim Maswi (Pichani), Katibu Mkuu ya Wizara ya Nishati na Madini ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake, kama ilivyoelekezwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. 

BAADA YA KUPIGWA KIBUTI.....NICKI MINAJ ATOA VIGEZO VYA MWANAUME MPYA ANAEMTAKA.....

Baada ya kutengana na mpenzi wake safaree Samuels, Hitmaker wa nyimbo ya ‘Anaconda’ Nick Minaj ametaja vigezo vya mpenzi atakayekua naye kwa sasa aka BABY MPYA...

Monday 22 December 2014

Mh ANNA TIBAIJUKA KUMGOMEA RAIS KIKWETE???????


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Kikwete amemaliza hutuba yake na Wazee wa Jiji la Dar es salaam na Kumalizia kwa Kumuwajibisha waziri wa Ardhi na Makazi, Anna Tibaijuka kwa kutengua wadhifa wake wa UWAZIRI.mh rais alisema "Waziri Tibaijuka alifanya makosa kimaadili; tumemwomba AnnaTibaijuka apumzike tumteue mwingine!"
Pia Mh Rais amesema kuwa "Waziri wa Nishati na Madini Prof. Muhongo huyu nimemuweka kwanza kiporo maana bado uchunguzi unafanyika"...