Sunday 21 December 2014

LULU AFIKIRIA KUZAA, ASEMA KUZAA NI HESHIMA WALA SI KUZEEKA...

 

Mrembo na mwigizaji wa filamu hapa nchini, Elizabeth Michael “LULU” ameamua kufunguka na kusema mtazamo wake kuhusu swala la wasichana kuogopa/kukataa kuzaa kwakuofia kuwa watazeeka. 

MATOKEO YA MECHI ZA JANA NA MSIMAMO LIGI KUU YA ENGLAND BAADA YA MECHI ZA JANA



KITUKO; MKE AMKIMBIA MUMEWE KISA DOZI NZITO KITANDANI...


 
Hiki ni kituko cha mwaka kilichotukia katika kituo cha polisi bulenga, wakati mwanamke mmoja alipokuwa akiomba poo na huku akimtaka mumewe amsamehe na kumwachilia aende zake kutokana na mumewe kuwa na hamu ya kufanya ngono isiyo na koma.  Ruth Nakyeyune,alikuwa akilia na hanyamazishwi kwa madhila apatayo kutoka kwa mumewe huku akimuomba mumewe mwenye asili ya Nigeria bwana Sultan Ali Baba.. 

MONALISA APINGA UAMUZI WA STEPS KUSHUSHA BEI ZA DVD ZA BONGO MOVIE,YADAIWA LENGO SI KUPAMBANA NA MAHARAMIA BALI NI KUZIUA KAMPUNI NYINGINE ZA KUSAMBAZA KAZI ZA WASANII ILI STEPS IBAKI PEKE YAKE

Yvonne Cherryl (Monalisa) mmoja wa waigizaji maarufu ambao wamepigana sana kuifikisha tasnia ya filamu Tanzania hapa ilipo leo ameonekana kutoridhishwa na hatua walioichukua kampuni ya Steps Entertainment kuuza filamu za kitanzania kwa shilingi 1500 badala ya 3000 kwa bei ya rejareja kuanzia mwakani mwezi wa pili. 

Saturday 20 December 2014

ELTON JOHN KUOLEWA KESHO


      
Mwanamuziki nguli wa nchini Uingereza, Elton John anatarajia kuolewa katika ndoa ya jinsia moja na mpenzi wake wa siku nyingi aliyedumu naye kwa miaka 20, David Furnish.
       

CHRISTIAN BELLA AVUNJA MAZOEZI YA SIMBA SC

 

MECHI ZA LIGI KUU ENGLAND LEO NA KESHO HIZI HAPA


AMISI TAMBWE AMWAGA MACHOZI HADHARANI BAADA YA KUONA NYUMBA ANAYOISHI MBUYU TWITE...

SIKU chache baada ya aliyekuwa mshambuliaji wa Simba, Mrundi, Amissi Tambwe, ajiunge na Yanga, amejikuta akitokwa na machozi baada ya kutembelea nyumbani kwa beki wa timu hiyo ambaye ni raia wa Rwanda na mwenye asili ya DR Congo, Mbuyu Twite.
Tambwe alikumbwa na hali hiyo bila ya kutegemea kutokana na kujionea maisha mazuri ambayo anaishi beki huyo huku akiambiwa kuwa na wachezaji wengine wa timu hiyo nao wanaishi vizuri kama ‘professional’.