Monday, 2 February 2015

HUYU NDIO MASOGANGE,HAPANA CHEZEA YEYE....

MTOTO KAJAZIA KWA MPANGILIO,SHINGO INAONEKANA IKO WAPI,KIFUANI HATARI TUPU,TUMBO LAJULIKANA LILIPO,KIUNO KKILEEEEE,VILIVYOBAKI CHINI YA KIUNO ANGALIA MWENYEWE NI HATAREEEEEEEEE....

WILFRED BONY AIPELEKA NUSU FAINALI IVORY COAST ALGERIA YAFA 3-1..


                          

Hatimaye Wilfried Bony ameondoa ukame wake wa magoli kwenye michuano ya kombe la mataifa ya Afrika (AFCON) baada ya kuifungia Ivory Coast mabao mawili katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Algeria. 

GARETH BALE AONJA MACHUNGU YA MASHABIKI WA REAL MADRID KWA TABIA YAKE YA UCHOYO WA PASI..

 
Gareth Bale amekutana tena na adha za mashabiki wa Real Madrid baada ya kuzomewa na wanazi hao kwa kumnyima pasi mchezaji mwenzake.
Hata hivyo Bale aliwajibu kishujaa kwa kutoa pande zuri kwa Karim Benzema lililozaa moja ya magoli katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Real Sociedad Jumamosi jioni.  

DIAMOND AMJIBU EX WA ZARI KWA VITENDO

Diamond akiwa kwenye baiskeli huku Zari akiwa kwenye BMW X6. 
Baadhi ya post za King Lawrence Instagram akimkejeli Diamond. 

Saturday, 31 January 2015

ROBERT MUGABE ATEULIWA KUWA MWENYEKITIBWA UMOJA WA AFRIKA "AU"..

Rais mkongwe wa Zimbabwe Robert Mugabe, ameteuliwa kuwa mwenyekiti wa Muungano wa Afrika AU akichukua nafasi ya Mohamed Ould Abdel Aziz wa Mauritania.
  Mugabe mwenye umri wa miaka 90 ameteuliwa kwa kauli moja na Wajumbe katika mkutano wa AU unaoendelea kwa sasa mjini Addis Ababa-Ethiopia.

LEMA: NATAMANI KWENYE AMRI ZA MUNGU IONGEZWE YA 11,ISEMAYO "USIWE CCM"..


   
 Wabunge wameendelea kuchangia taarifa za Kamati za Hesabu za Serikali PAC na LAAC zinazoonesha ubadhilifu mkubwa wa fedha za umma. Hapa  chini nimekuwekea  michango  ya  baadhi  ya  Wabunge.

Lema: Haiwezekani kila siku tukija humu tunazungumzia wizi tu, inatakiwa tuzungumzie mipango ya maendeleo ya wananchi sio kila siku wizi wizi wizi unaosababishwa na CCM..

BABA AJIUA BAADA YA KUONA PICHA ZA UCHI ZA BINTI YAKE


                         

Wazazi wamekua na nafasi kubwa sana katika malezi ya watoto wao hata wakati  wanapokuwa watu wazima lakini baba huyu kutokana na upendo kwa mwanaye aliamua kujiua baada ya kuona picha za mtoto wake alizopiga akiwa mtupu katika jarida la Playboy....

Thursday, 29 January 2015

HUYU NDIYE MTANGAZAJI MWENYE SHEPU KAMA KALIMATI TANZANIA

MTANGAZAJI wa kituo cha Redio Times, Hadija Shaibu ‘Dida’, juzikati aliamua kutoa siri yake ya moyoni na kuweka wazi juu ya tabia yake ya kuachika na kupata mume mpya mara kwa mara.Aliweka bayana kwamba anaachika na kupata mwanaume mpya haraka kwa sababu ana shepu ya kalimati (aina ya andazi linalonona).