Saturday 6 December 2014

DIAMOND AHAMIA MAREKANI

Baada ya kutoka South Africa na kurudi nyumbani kuleta zawadi alizonyakuwa hivi karibuni na

 kurudi nyumbani kuleta zawadi alizonyakuwa hivi karibuni ,msanii huyu nguli wa Bongo fleva leo ameshapaa kwenda kwa Obama na Leo anatarajia kufanya shoo moja ya hatari sana kwa ajili ya Uhuru wa Tanzania...Cheki matangazo ya shoo atakazofanya hapa chini.....






MCHEKI RAIS JK AKIPIGA MAZOEZI IKULUUUUUUUUUU

GAIDI ALIYELIPUA MABOMU ARUSHA AFARIKI AKIWA HOSPITALI.


Hatimaye Abdulkarimu Thabiti Hasia aliyekuwa akituhumiwa kwa ugaidi, amefariki katika Hospitali ya Mkoa wa Arusha, Mount Meru alipokuwa amelazwa kwa miezi sita akiwa mikononi wa polisi.

CHEKI KATUNI YA ZARI NA DIAMOND ILIVYOCHORWA HUKO UGANDA


MAGAZETI YA HABARI ZA KITAIFA NA KIMATAIFA YA LEO DISEMBA 6

MAGAZETI YA MICHEZO YA LEO DISEMBA 6