Saturday 27 December 2014

PATCHO MWAMBA AKANUSHA KUFUMANIWA...


                                                     
Mwigizaji na mwanamuziki wa Bendi ya FM Academia, Patcho Mwamba amekanusha vikali taarifa zilizozagaa katika mitandao ya kijamii kuwa amefumaniwa akiwa na mke wa mtu na kupokea kipigo.

TAARIFA KAMILI YA BOMU LILILOLIPUKA HUKO RUVUMA NA KUMUUA MLIPUAJI


 Kamanda wa polisi Mkoa wa Ruvuma Mihayo Msikhela akitoa maelezo kwa DCP Diwani Athumani ambaye aliwasili mkoani humo jana kwaajiri ya bomu la kutengenezwa kienyeji ambalo askari wa doria walinusurika kurushiwa na kumlipukia mlipuaji wa bomu hilo ambaye
alifariki papo hapo.
Askari WP Mariam mwenye namba 8616 akiwa amelazwa wodi ya majeruhi hospitali ya Mkoa baada ya kujeruhiwa mkono wa kushoto kwenye bega baada ya vipande vya bomu kumfikia akiwa na askari wenzake kwenye doria siku ya sikukuu ya krisimas.
    
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu akiuangalia mwili wa mtuhumiwa wa ulipuaji wa bomu ambaye alitaka kuwarushua askari wa doria wakati wa sikukuu ya krismas kwenye chumba cha kuhifadhia maiti. (PICHA NA AMON MTEGA ,SONGEA.
..................................................... 

MMTALAKA WA MBUNGE AWASHANGAA WANAOMWITA MBURULA...


      
Mzazi mwenzake na Mbunge wa Mbeya mjini Mh.Joseph Mbilinyi ‘Mr Sugu’, Faiza Ally.

Mzazi mwenzake na Mbunge wa Mbeya mjini Mh.Joseph Mbilinyi ‘Mr Sugu’, Faiza Ally amefunguka kuwa, watu wasidhani kuwa yeye ni mbulula kwa uamuzi wake wa kuvaa pempasi ukumbini bali aliamua tu.

MISS TANZANIA LOKAPU MIAKA 2 ILI KUREKEBISHA TABIA...



Tangu atangazwe aliyekuwa Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu mengi yameongelewa kuhusiana na tetesi za udanganyifu wa umri na vitu vingine kadhaa vinavyomhusu mrembo huyo ikiwemo suala la umri wake na kiwango cha elimu yake ambapo yeye mwenyewe alikanusha taarifa hizo.

DIAMOND:.."NIMEMPENDA ZARI ILI NIJULIKANE NCHINI UGANDA"..


                            
Mapenzi bhana! Baada ya kutoka kimalavu na kumwagana na mwanadada mwenye mvuto Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kisha kuangukia kwenye ‘utamu’ wa penzi la mwanamama anayekimbiza Uganda, Zarinah Hassan a.k.a Zari au The Boss Lady, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameamua kuanika siri tano za kilichomvutia kwa staa huyo gumzo Afrika Mashariki. 

HUYU NDIYE MTANGAZAJI MCHAFU ZAIDI ANAETANGAZA BBC


 Raphael Tenthani

Katika maisha ya kawaida tumezoea kuona kuwa watangazaji na waandishi wa habari hupendelea kuonekana SMART kwani wao ni kioo cha jamii,,ila kwa hili ni tofauti....
Pichani ni Raphael Tenthani, mwakilishi wa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) nchini Malawi.   

Friday 26 December 2014

Mh.MBUNGE AITELEKEZA FAMILIA BAADA YA NDOA KUVUNJIKA


Aliyekuwa mpenzi wake na mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu, Faiza Ally amemtupia lawama mzazi mwenzake kuwa hamjali mwanae baada ya kuachana. 
Faiza alikuwa akiongea kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV ambapo alikiri kuwa kuachana na Sugu kunaendelea kumuumiza. 

Wednesday 24 December 2014

KAOLE SANAA GROUP LAFUFUKA TENA,LABATIZWA JINA JIPYAAAAAA....


Kundi kongwe la sanaa ya uigizaji na ngoma lililotoa vipaji vingi vya uigizaji hapa nchini, Kundi la Sanaa la Kaole “Kaole Sanaa Group” limerudi ila sasa kwa jina lingine..habari kamili ametueleza hapa, Halima Yahya “DAVINA”moja kati ya waliokuwa kaole na sasa wameasisi hii kaone, anasema;