Monday, 9 February 2015
IVORY COAST BINGWA AFCON 2015
Mabingwa wapya wa Kombe la Mataifa Afrika 2015, Ivory Coast wakipozi na kombe leo.
Straika wa Manchester City, Wilfried Bony akiwa amembeba shujaa wa Ivory Coast Boubacar Barry (katikati), aliyefunga penalti ya mwisho.
Nahodha wa Ivory Coast, Yaya Toure akifurahia ubingwa.
Patashika wakati wa fainali hiyo...
NDUGU WA MBASHA WAKAA KIKAO KIZITO, WAKIKATAA KICHANGA CHA FLORA
SIKU chache baada ya kuibuka utata mkubwa juu ya kichanga cha kike cha mwimba Injili maarufu Bongo, Flora Mbasha huku mitandao ya kijamii ikieleza kwamba baba wa mtoto huyo si aliyekuwa mume wa mwanamuziki huyo, Emmanuel Mbasha ‘Ima’, familia ya mwanaume huyo inadaiwa kufanya kikao kizito jijini Dar ili kupata ufumbuzi..
PICHA ZA NGONO ZA NAY WA MITEGO,ZASABABISHA ASUSIWE KICHANGA NA MCHUMBA AKE SIWEMA...
Picha za ngono zilizozagaa katika mitandao ya kijamii za Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, zikimuonesha akifanya ufuska na mrembo chumbani zimemliza mchumba’ke, Siwema ambaye ameamua kumsusia mtoto wao mchanga.
Wednesday, 4 February 2015
KITUO KINGINE CHA POLISI CHAVAMIWA,SILAHA NA NYARAKA ZAIBWA..
Kamanda Leonard Paulo.
Wimbi la uvamizi na uporaji wa silaha kwenye vituo vya polisi limeendelea kushamiri safari hii likiamia mkoani Morogoro kwa kituo kidogo cha Polisi Mngeta, kilichopo Wilaya ya Kilombero, kuvamiwa na kuporwa bunduki moja aina ya SMG na magazine moja yenye risasi 30.
IRENE UWOYA KUOLEWA NA JAGUAR HIVI KARIBUNI...
Irene Uwoya amesema ingawa Jaguar alishindwa kuja kuzungumza na wazazi wake kuhusu ndoa yao, bado wanawasiliana vizuri na kila kitu kipo sawa.
Monday, 2 February 2015
KIBIBI KIZEE ANAYESADIKIWA KUWA NI MCHAWI AANGUKA KUTOKA ANGANI,CHAWARUSHIA WANANCHI MAHELA...
KATIKA hali ya kushangaza, bibi kizee anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka (70), asiyejulikana jina wala makazi yake, ameanguka akiwa uchi wa mnyama nyumbani kwa Suzana Mwandu, mkazi wa Mtaa wa Mageuzi mkoani Shinyanga.
Tukio hilo lilitokea juzi ambapo bibi huyo baada ya kuanguka alianza kutembelea makalio bila kuzungumza chochote jambo ambalo limedaiwa ni ushirikina.
HUYU NDIO MASOGANGE,HAPANA CHEZEA YEYE....
MTOTO KAJAZIA KWA MPANGILIO,SHINGO INAONEKANA IKO WAPI,KIFUANI HATARI TUPU,TUMBO LAJULIKANA LILIPO,KIUNO KKILEEEEE,VILIVYOBAKI CHINI YA KIUNO ANGALIA MWENYEWE NI HATAREEEEEEEEE....
WILFRED BONY AIPELEKA NUSU FAINALI IVORY COAST ALGERIA YAFA 3-1..
Hatimaye Wilfried Bony ameondoa ukame wake wa magoli kwenye michuano ya kombe la mataifa ya Afrika (AFCON) baada ya kuifungia Ivory Coast mabao mawili katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Algeria.
Subscribe to:
Posts (Atom)